BODI YA WAKURUGENZI TUWASA KATIKA KIKAO CHA ROBO YA TATU, 2025.
30 Apr, 2025

Bodi ya Wakurugenzi TUWASA imeketi kikao cha kawaida katika robo ya tatu ,2025 kujadili masuala mbalimbali ya kuboresha huduma ya maji Tabora.
Kikao hicho kimeongozwa na Bi Mwanne Mchemba - ambaye ni makamu mwenyekiti wa Bodi hiyo.
Bodi imesisitiza kuongeza mauzo, mapato na ushirikiano baina ya menejiementi na watumishi wote ili kutimiza malengo.
Pia Bodi imepokea taarifa ya tathimini iliyofanyiwa Bodi ambapo imefanya vizuri kusimamia Taasisi kwa kupata asilimia 86. translate in English