Maadili ya Msingi

Katika kutoa huduma bora, TUWASA inaongozwa na Maadili ya Msingi yafuatayo:

1. Kujitegemea na usawa

2. Uwezo wa kitaaluma

3. Uadilifu

4. Ubunifu na Uvumbuzi

5. Inayozingatia Matokeo

6. kufanya Kazi kwa Pamoja