MIRADI
|
Na |
JINA LA MRADI |
MKANDARASI |
GHARAMA ZA MRADI |
MAENEO YANAYOHUSIKA |
% YA UKAMILIFU |
|
1. |
Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Kutibu Majitaka
|
PERITUS PRIVATE EXIM |
1,613,830,289.76 |
Manispaa ya Tabora |
54 |
|
2. |
Mradi wa ujenzi wa Bomba kuu la kutoa maji Igombe hadi Tenki la Itumba katika Manispaa ya Tabora |
HELP DESK ENGINEERING TANZANIA LTD |
23,786,325,372.16 |
Manispaa ya Tabora |
6.3 |
|
3 |
Mradi wa ukarabati wa bomba kuu kutoka Utyatya hadi Tenki la Mission Sikonge |
KABANSORA CONSTRUCTION COMPANY |
976,066,880.00
|
Sikonge
|
92 |
|
4. |
Upanuzi wa Mtandao wa maji katika kata za Ikomwa, Uyui, Masimba na Upimbili - Ulamba |
MAPATO YA NDANI |
500,000,000.00 |
Ikomwa, Uyui, Masimba, Upimbili na Ulamba |
86.8 |
| 5. |
Uboreshaji wa huduma ya maji katika mji wa Sikonge |
MAPATO YA NDANI |
1,593,425,000.00 |
Sikonge |
50 |
| 6. | Mradi wa ujenzi wa bomba la usambazaji maji hdpe 110 MM kutoka tanki kuu la Muungano kwenda Mjini Urambo |
MAPATO YA NDANI |
906,200,000.00 |
Urambo |
72 |
| 7 | Mradi wa bomba la usambazaji maji HDPE 110 MM kutoka Magere kwenda Mjini Kaliua |
Kikundi cha Kijamii cha Nguvu kazi Plumbers |
1,257,050,000.00 |
Kaliua |
38.8 |
| 8 | Mradi wa Uchimbaji wa Visima Vitatu na kuviendeleza Sikonge |
RUWASA |
232,650,000.00 |
Sikonge |
50 |

