TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA
22 May, 2026
Mkurugenzi mtendaji, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora Mjini (TUWASA), anawatangazia Wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kujitolea kwa kipindi cha mwaka mmoja: Tafadhali pakua hapa, TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA ZA KUJITOLEA

