HUDUMA ZA MAJISAFI
HUDUMA ZA MAJISAFI

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) ina lengo la kusambaza Majisafi na Salama yanayoweza kutosholeza wakazi wa Manispaa ya Tabora, Miji ya Sikonge, Urambo na Isikizya.