Dira na Dhamira

DIRA

Kuwa Mamlaka bora Nchini yenye utamaduni wa kipekee katika utoaji wa Huduma bora ya Majisafi na Uondoaji wa Majitaka inayokidhi Mahitaji na Matarajio ya Wateja ndani ya Manispaa ya Tabora

DHAMIRA

Kutoa Majisafi na Salama ya kutosha kwa Wananchi wa Manispaa ya Tabora kwa kuzingatia Usafi wa Mazingira katika viwango vya juu vinavyolenga mahitaji ya wateja