MKURUGENZI MTENDAJI...
MKURUGENZI MTENDAJI - TUWASA AMEFUNGUA MAFUNZO YA MAANDALIZI YA MPANGO WA USALAMA WA MAJI TAREHE 05.06.2023
06 Jun, 2023
MKURUGENZI MTENDAJI - TUWASA AMEFUNGUA MAFUNZO YA MAANDALIZI YA MPANGO WA USALAMA WA MAJI TAREHE 05.06.2023

ENG. MAYUNGA A. KASHILIMU - MKURUGENZI MTENDAJI

Amewataka wadau kushiriki kikamilifu katika mafunzo kwa kuwa ni jukumu la msingi  kuhakikisha maji yanakuwa salama kwa kulinda na kutunza vyanzo vya maji na miundombinu yake.

Mafunzo hayo yameandaliwa na TUWASA kwa kushirikiana na wataalam wa Idara ya ubora wa Maji wa Wizara ya Maji

WASHIRIKI WA MAFUNZO

Wadau walioshiriki mafunzo ni kutoka Ofisi ndogo za bonde la Ziwa Tanganyika Tabora, Wakala wa huduma za misitu, wataalam mbalimbali kutoka TUWASA, Hali ya hewa, Manispaa akiwepo Afisa maendeleo ya jamii, Afisa Afya, Afisa Mazingira na Wataalam wa tiba ya maji kutoka maabara ya Kigoma na Singida.