JUMUIYA YA WATUMIA M...
JUMUIYA YA WATUMIA MAJI YA UPI ILIYOPO KATA YA USHOKOLA KALIUA IMETOA MAONI KUHUSU TAHIMINI INAYOFANYWA NA WATAALAM KUTOKA WIZARA YA MAJI TAREHE 31/08/2023
31 Aug, 2023
JUMUIYA YA WATUMIA MAJI YA UPI ILIYOPO KATA YA USHOKOLA KALIUA IMETOA MAONI KUHUSU TAHIMINI INAYOFANYWA NA WATAALAM KUTOKA WIZARA YA MAJI TAREHE 31/08/2023

Jumuiya ya watumia maji ya UPI iliyopo Kata ya Ushokola Kaliua imetoa maoni kuhusu tahimini inayofanywa na wataalam kutoka Wizara ya Maji wakiongozwa na mhandisi Agripina Mashula Geodfrey ili kufanya taratibu za kisheria za kuipa mamlaka TUWASA kusimamia Kaliua mji kuhusu huduma ya maji.

Maoni yaliyotolewa yalikuwa Kama ifuatavyo;.

  • TUWASA iongeze mtandao wa maji kwa kuwa kuna maeneo hayana mtandao wa maji.
  • Mfumo wa uandaaji wa Ankara za wateja uboreshwe na walipe kwa control namba.

Mwisho kabisa wamepokea kwa mikono miwili suala hili la kuboresha huduma kata ya Ushokola.