WATU 110 KUNUFAIKA N...
WATU 110 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI KALIUA , TABORA.
11 Jul, 2023
WATU 110 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI KALIUA , TABORA.

Mradi wa maji Kaliua umefikia asilimia 93 ya utekelezaji  ameeleza hayo Meneja wa Mradi Mhandisi Thomas Msenyele. Aidha Mradi huo ni wa gharama zaidi ya shilingi milioni 503 na kazi zilizofanyika ni zifuatazo;-

  1. Ujenzi wa Tangi la majilenye ujazo wa lita 50,000
  2. Ujenzi wa Raiser yenye urefu wa mita 12
  3. Ulazaji wa ,abomba yenye urefu wa km 13.5

Mradi huu  utakapokamilika unatarajiwa kunufaisha watu 110.

 “Maji ni Uhai, Maji ni Maendeleo, Maji ni ustaarabu”