Nawezaje kujiunga na huduma za Majisafi nikiwa Tabora?
Unatakiwa kujaza Dodoso lenye Taarifa zako zote muhimu lililopo hapa kwenye Website yetu na kulituma TUWASA kisha utapimiwa eneo lako na kupewa hati ya madai na kuunganishwa kwenye huduma.