TUNAHAKIKISHA WAKAAZI WA SIKONGE, URAMBO NA KALIUA WANAPATA MAJI YA UHAKIKA YA ZIWA VICTORIA.
08 Oct, 2025

Katika kuadhimisha Wiki ya huduma kwa wateja TUWASA kupitia mkandarasi wa Mradi wa miji 28 inaunganisha bomba kubwa la maji ya Ziwa Victoria kutoka Manispaa ya Tabora kupeleka Sikonge na Urambo kisha Kaliua.
Kazi hii inafanyika kuhakikisha wakaazi wa Sikonge, Urambo na Kaliua wanapata maji safi , salama na ya uhakika.
" Dhamira inayowezekana"