UFUNGUZI WA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA

RATIBA FUPI YA WAZIRI WA MAJI MHE. JUMAA H AWESO YA KUMTAMBULISHA MKANDARASI ANAYEJENGA MRADI WA MAJI YA ZIWA VIKTORIA WILAYA YA KALIUA NA HAFLA YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI KALIUA TAREHE 29 JULAI, 2023.
NA |
MUDA |
TUKIO/MADA |
MHUSIKA
|
1 |
03:00-3:45 |
Wageni kuwasili eneo la tukio
|
Wote/MC
|
2 |
03:45-4:00 |
Utambulisho
|
DAS/RAS/MC
|
3 |
4:00-4:15 |
Neno la utangulizi |
MENEJA RUWASA(M) |
4 |
04:15-4:45 |
Salamu za viongozi |
Mwenyekiti CCM(W), Katibu CCM (W), Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mbunge wa Jimbo la Ulyankulu, M/Kiti H/W, DED, Viongozi wa Chama na Serikali |
5 |
4:45-5:00 |
Burudani |
KINA MAMA KAZAROHO |
6 |
05:00-5:10 |
Taarifa ya Mradi wa maji Kaliua
|
MKURUGENZI TUWASA |
7 |
05:10-5:20 |
Kukagua na kuweka jiwe la msingi |
Mhe. Waziri wa Maji
|
8 |
05:20-5:25 |
Burudani |
KIKUNDI CHA NGOMA |
11 |
5:25-5:40 |
Neno kutoka kwa Mhe. Mkuu wa Wilaya na Kumkaribisha Mhe. Mgeni Rasmi |
Mkuu wa Wilaya |
12 |
5:40-6:10 |
Hotuba ya Mgeni Rasmi na kutambulisha Mkandarasi anayejenga mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kuja Kaliua
|
Mhe. Waziri wa Maji
|
13 |
6:10-6:20 |
Neno la Shukrani na Kufunga Hafla
|
Mwenyekiti wa kijiji cha Kaliua Mashariki |
14 |
6:20-7:00 |
Kuelekea Urambo |
Wote |